Good Hope English Medium Pre & Primary School ni shule ya Bweni na kutwa yenye usajili namba EM17450, iliyopo kata ya Yanga Manispaa ya Bukoba.
Inakutangazia nafasi za masomo kwaajili ya chekechea, miaka 3-6, pia kwa darasa la kwanza mwaka 2025 pia Nafasi za kujiunga darasa la pili hadi la saba.
Fomu zinapatikana
- Ofisi ya ushauri ya Askofu Joas Josiah Baganda mkabala na maktaba ya mkoa
- Dukani kwa mama Dani kyakailabwa
- Shuleni Good hope
Kwa maelezo zaidi waweza wasiliana nasi
- 0769473561
- 0713466763
- 0713008283
- 0629658500
Shule yetu ina mazngira mazuri ya kujifunzia mlete mwanao apate elimu bora inayokwenda na wakati