Edit Content
Click on the Edit Content button to edit/add the content.

 

Good Hope English Medium Pre & Primary School ni shule ya Bweni na kutwa yenye usajili namba EM17450, iliyopo kata ya Yanga Manispaa ya Bukoba.

Inakutangazia nafasi za masomo kwaajili ya chekechea, miaka 3-6, pia kwa darasa la kwanza mwaka 2025 pia Nafasi za kujiunga darasa la pili hadi la saba.

Fomu zinapatikana

Kwa maelezo zaidi waweza wasiliana nasi

Shule yetu ina mazngira mazuri ya kujifunzia mlete mwanao apate elimu bora inayokwenda na wakati

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *